
Rais Jakaya Kikwete na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda, wakiagana na mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere, muda mfupi baada ya kumalizika kwa misa maalumu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. ili atangazwe kuwa mwenye heri, misa iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mashahidi wa Uganda lililopo Namugongo, nje kidogo ya mji wa Kampala jana. Wa pili kushoto ni Askofu msaidizi wa Jimbo la Katoliki la Bukoba Methodius Kilaini. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment