Thursday, August 18, 2011

....GHADDAFI CHAMELEONE.....ARUDI KUWA MKRISTO...!



Jaffar Ghaddafi muite tena Jose Chameleone,coz amefunguka na kuvunja ukimya baada ya siku 6 tangu abadili dini na kuwa muislamu....hatimaye amerudi kwenye dini yake ya awali,aliyozaliwa na kulelewa na familia yake Mkristo wa Roman Catholic
Nilihudhuria sala ya Ijumaa na mke wangu Daniella alikua anajua,ili niwe karibu na mungu,lakini ilipokelewa kwa hisia tofauti na kushangaa jinsi alivyopokelewa msikitini hapo na kuishia kutoa shahada,neno ambalo linamtambulisha mtu aliyeigia kwenye dini ya kiislam na kuahidi kuamua kurudi kwenye dini yake ya zamani...alifunguka pande za home kwake Seguku,Entebbe Road-Uganda akiongea na waandishi wa habari....
Alifunguka zaidi “Bado anampenda Daniella na wala sijaachana nae wala siwezi kuishi bila yeye na kukiri aliishi kwa shida siku hizo 6 za kwa sasa amerudi kwenye dini yake ili aelewane na familia yake na wakwe zake pande za home kwake Seguku,Entebbe Road-Uganda
Pia Sheikh Ghaddafi alionesha simu yake alipokua anampigia mke wake Daniella na kuzichunia...na kubadili caller tune yake iliyokua na nyimbo ya Chameleone na kuweka ya Judith Babirye track ya Mukama Wanjagala na Chameleone alikua kwenye pressure kubwa toka kwa dingi yake,Mzee Mayanja,Mashangazi na dingi alifunguka kuwa hamtambui Jaffar Gadaffi....ila ataongea na Joseph Mayanja
....Na Jumapili hii atahudhuria kanisani ambapo alifunga ndoa na Daniella,Mutunga Binna Church na mwisho alimalizia kwa kusema...."MY FAMILY IS SO IMPORTANT,I LOVE MY GOD BUT THIS THING OF CONVERTING AND LEAVING ALL MY FAMILY IN A MESS,STILL IT WON'T PLEASE MY GOD"

No comments:

Post a Comment