
kuna young bloggers wengi ila hawafahamu ni kama kuna umoja wa bloggers wa kibongo! hivyo maswali mengi huzuka pale kunapo kuwa na tuzo za best blogger wa TZ! KAMA UMOJA HUO UPO TUJULISHANE ,ILI TUZIDI KUSHARE IDEAS! na naamini umoja ni nguvu na utengano ni choyo na ubinafsi.
No comments:
Post a Comment